Pages

Thursday, May 16, 2013

TIMU TANO KUTOKA AFRIKA MASHARIKI ZAINGIA NUSU FAINALI PAN-AFRICAN GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE


 Washindi war obo fainali ya 4 timu kutoka Kenya(wenye rangi nyekundu) na timu kutoka Ghana(wenye rangi nyeusi) wakjipongezana baada ya kipindi kuisha
Washindi wa kwanza wa robo fainali ya mwisho ya Guinness Football Challenge Emmanuel Okraku Kofi(kushoto) na Isaac Aryee(kulia) katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi hicho Larry Asego na Mimi kalinda
 Timu zilizoshiriki robo fainali ya jana katika picha ya pamoja na waendeshaji wa kipindi cha Guinness Football Challenge mara tu baada ya kumalizika kwa kipindi hicho huku washindi wa dola 1,500 wakiwa wamebelea pesa zao.
15 Mai 2013, Dar es Salaam jana usiku kupitia televisheni za ITV na Clouds TV washindi kutoka Ghana katika GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE walisheherekea ushindi wao wa kufuzu nusu fainali kwa kucheza wimbo wa Azonto huku watangazaji Larry na Mimi nao wakijumuika nao.Emanuel Okarku(27) na Isaac aryee(25) hawakufanya vizuri katika hatua ya pesa ukutani na kupata dola za kimarekani 1,500 lakini waliufanya uwanja wote kucheza Azonto.
Emmanuel na Isaac waliwashinda wakenya katika hatua ya penati na kufikia hatua ya Ukuta  wa pesa wa Guinness, hata hivyo timu kutoka Kenya iliibuka mshindi wa pili na kufuzu kuingia nusu fainali.
Emmanuel, Isaac, Kenneth na Chris pamoja na washindi wengine wa robo fainali zilizopita wataendelea kucheza na kuziwakilisha nchi zao katika hatua ya nusu fainali na wana nafasi ya kupeperusha bendera za mataifa yao hadi mwisho. Pia wana nafasi ya kuwa washindi wa mashindano haya ya Pan African.
Nusu fainali hizi zitaoneshwa katika televisheni za ITV na Clouds TV kila siku za jumatano saa 3:15 usiku ITV na saa 2:15 usiku Clouds TV.Hakikisha haukosi  kuangalia mchezo  huu wa nusu fainali.
Mashabiki  na wapenzi wa soka wanaweza kupima maarifa yao kupitia simu zao za mkononi na kushiriki  GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE kupitia GUINNESS® VIP™.  Jiunge bure sasa kupima maarifa yako,tembelea m.guinnessvip.com sasa.
Usikose kufuatilia ukurasa wetu wa facebook wa GUINNESS FOOTBALL CHALLENGE kwa habari mbalimbali.
-www.facebook.com/guinnesstanzania
Tafadhali kunywa kistaarabu - Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.

No comments:

Post a Comment