Pages

Sunday, May 12, 2013

MZUNGU NA WANAFUNZI 10 WA KIKE WAKAMATWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA NCHINI KENYA.

mzungu na watuhumiwa wenzake wakiwa mahakamani

Kenya ilikua kimya kidogo baada ya uchaguzi mkuu kuisha lakini kwa sasa inamake headline sana katika vyombo vya habari hasa katika nchi za afrika mashariki. Tukio lililoifanya kuandikwa sana katika mitandao ni kutokana na wanawake 12 pamoja na raia mmoja kutoka  nchini Uswiss kunaswa na polisi wakifanya mapenzi na mbwa huku wakichukuliwa video.

Habari mollelwatz.blogspot.com ilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kuwa mzungu huyo alikua akiwalipa wanafunzi hao kiasi cha sh 3000 za kenya ili kufanya mapenzi na mbwa huyo huku wakichukuliwa video.

hii ni picha ya mtuhumiwa akiwa nchini kwao

Inadaiwa kwamba siku za hivi karibuni kumekua na utitiri wa raia wa kigeni kuingia nchini kenya na kutafuta wadada hasa wanafunzi wa kufanya  ngono na hatimaye kuwafanyisha ngono na mbwa kama ilivyotokea katika tukio hili.

 Baada ya polisi kuwafatilia kwa muda mrefu hatimaye siku ya siku ikafika na hatimaye kuwakamata wanafunzi 10 na mwanaume huyo wakiwa katika nyumba moja huko kenya  katika mtaa wa kifahari wa Nyali, jijini Mombasa kenya

Baada ya kuwakamata taratibu za kuwakamata wahalifu hao na hatimaye kufikisha mahakamani na  mwendesha mashtaka kuomba aongezewe mda wa kufanya uchunguzi zaidi kwa ajili ya kesi hiyo.

No comments:

Post a Comment