Pages

Tuesday, May 14, 2013

Mfanyakazi wa Airtel abambwa akiiba Quality Plaza


Mrembo pichani (jina kapuni) aliyefahamika na wengi kama mfanyakazi wa Airtel Quality Center  hivi karibuni alikamatwa  akiwa na rundo la vitu kibao alivyoviiba  ndani ya  Supermarket ya Quality Centre iliyopo barabara ya Nyerere mjini Dar es salaam.

 

Source: Chinga One Blog

No comments:

Post a Comment