MOLLEL WA TZ
HABARI,MATUKIO,MICHEZO,MATANGAZO NA BURUDANI. Wasiliana moja kwa moja kupitia icehabari@gmail.com
Pages
Home
Tuesday, May 7, 2013
MISS KENYA AKANA KUA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MR NICE, HKI NDO ALICHOKISEMA
Hivi karibuni kuna tetesi zilienea katika mitandao ya Kenya kuwa huenda Miss Kenya 2012 Shamim ndiye atatimiza malengo ya Mr. Nice ya kuoa mkenya, kutokana na kuonekana pamoja mara kadhaa na katika muonekano wenye dalili zote za mapenzi 'activated'.Lakini taarifa hizo zimekanushwa na binti huyo mrembo Shamim ambaye amesema hawezi kabisa kudate na Mr. Nice sababu sio type yake!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment