Pages

Tuesday, May 7, 2013

MAZOEZI YA REDD'S MISS KIBAHA YALIVYOFANYIKA

  

 

Mkufunzi wa Warembo wa Redd's Miss Kibaha Rehema Uzuwiya akizungumza na warembo hawo wakati wa mazoezi yao yanayo endelea katika ukumbi wa Vijana Kinondoni



 

Warembo wa Redd's miss kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao



 

Warembo watakao wania taji la Redd's Miss Kibaha wakiwa katika pozi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika ukumbi wa vijana Kinondoni Dar es salaam

No comments:

Post a Comment