Pages

Tuesday, May 14, 2013

AJALI MBAYA YATOKEA RUNGWE-MKOANI MBEYA


AJALI MBAYA IMETOKEA  MAENEO YA KANYEGELE KIWIRA WILAYANI RUNGWE ENEO HILO MAALUFU KWA JINA LA UWANJA WA NDEGE LORI LILILOKUWA NA SHEHENA YA CHUPA LIKITOKEA DSM KUELEKEA NCHINI MALAWI LILIKATIKA BREKI NA KUPAA KUINGIA MSITU NDANI YA LORI HILO KULIKUWA NA DEREVA PAMOJA NA TINGO WAKE MASHUHUDA WA AJALI HIYO WAMESEMA HUWENDA MMOJA AMEFARIKI ILA MWINGINE HALI YAKE INASEMEKANA NI MBAYA 


MKUU WA WILAYA RUNGE AKISIMULIWA NA MOJA WA MASHUHUDA WA AJALI HIYO





Habari zaidi mtaletewa hivi punde baada  ya taarifa kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya.

No comments:

Post a Comment