UJENZI WA KITUO CHA SIKOSELI WAPIGWA JEKI
Mwenyekiti
wa Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey (kulia) akisalimiana
na mwendesha baiskeli wa masafa marefu, Alan Knight katika hafla ya
kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu ya
wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Alan hivi karibuni alishiriki
mbio za baiskeli za KM 17,718 kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini
Afrika Kusini kwa ajili hiyo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya
Sikoseli Tanzania ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Wengine ni
baadhi ya viongozi wa taasisi hiyo. Mjumbe
wa Bodi ya Taasisi ya Sikoseli Tanzania, Mhe. Abdallah Mwinyi (kuli)
akisalimiana na mwendesha baiskeli wa masafa marefu, Alan Knight katika
hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia elimu, afya na matibabu
ya wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo
katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Alan hivi karibuni alishiriki
mbio za baiskeli za KM 17,718 kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini
Afrika Kusini kwa ajili hiyo. Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya
Sikoseli Tanzania ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Katikati ni
Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Grace Rubambey.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya ugonjwa wa Sikoseli Tanzania, Grace Rubambey (kulia)
akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya kusaidia
elimu, afya na matibabu ya wagonjwa wa sikoseli nchini na pia ujenzi wa
kituo cha ugonjwa huo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Pia
walikuwa wakimkaribisha mwendesha baiskeli Alan Knight (wa tatu
kushoto), ambaye hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli za KM 17,718
kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili hiyo.
Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika
jijini Dar es Salaam juzi.
Mwambata wa Kisiasa kutoka Ubalozi wa Canada nchini, Dk. Carol McQueen
(kulia) akizungumza katika hafla ya kuchangisha fedha ya ajili ya
kusaidia elimu, afya na matibabu ya wagonjwa wa sikoseli nchini na pia
ujenzi wa kituo cha ugonjwa huo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Pia walikuwa wakimkaribisha mwendesha baiskeli Alan Knight (hayupo
pichani), ambaye hivi karibuni alishiriki mbio za baiskeli za KM 17,718
kutoka Cairo Misri hadi Cape Town nchini Afrika Kusini kwa ajili hiyo.
Hafla hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sikoseli Tanzania ilifanyika
jijini Dar es Salaam juzi. Ubalozi huo ulitoa shs milioni 30 kwa ajili
kusaidia suala la utoaji elimu kwa jamii kuhusu sikoseli. Baadhi
ya watu waliohudhuria hafla ya uchangishaji fedha kwa ajili ua ujenzi
wa kituo cha kuhudumia wagonjwa wa sikoseli katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili wakiwa katika hafla hiyo ambayo jumla ya shs milioni 54
zilichangishwa. Ujenzi wa kituo utagharimu shs milioni 75.
No comments:
Post a Comment