Pages

Friday, May 17, 2013

ETI KIOO CHA JAMII :ZE KOMEDY WAHARIBU UFUKWENI


 

 Masanii wa kundi la Ze Komedy Master Face akiwa na mmoja wa wasichana hao.

 Hapa  msanii Kiwewe akiwa amewakumbatia wabint hao kabla ya kuingia nao kwenye maji

 Mmoja wa wasichana hao aliyejitambulisha kwa jina la Happy akiwa na kingua cha aibu kabla ya kukivua kabisa.

 Hapa tayari akiwa amechojoa nguo

 Hapa Master Face akiwa na Happy kama anavyoonekana huku wakitomasana

 Hapa Happy na Master Face na Happy wakiwa wamedata kwa mahaba.Ilikuwa ni aibu mbele ya watu


 Haya Master Face umepewa "mgongo" huo kazi kwako habati hiyooooooooo kakaangu!

 Hapa Happy akiwa na msanii mwingine wa kundi hilo Manaiki Sanga kama anavyoonekana kwenye picha.

 Hapa msanii Masawe Mtata akiwa amedata na mmoja wa wasichana hao wanaodaiwa kurubuniwa.

 Manaiki Sanga akiwa amewakumbatia mabint hao.


Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua picha zinazowaonesha wasanii wa kundi la Ze Komedi wakiwa kwenye fukwe moja ya huko Kigamboni zimezusha balaa kubwa mtaani huku familia za wasichana hao zilikija juu.

Picha hizo ambazo blog hii ilizinasa kwa gharama kubwa toka kwa mmoja wa wafanyakazi wa fukwe ya Chadibwa zilikopigwa bila kundi hilo kutambua kama walikuwa wanafotolewa picha hizo.

Habari zaidi zilisema kuwa picha tangu zimewekwa kwenye blog hii zimeanza kusambaa hadi kuwafikia wanafamilia ambao wamekuja juu huku wengine wakitaka kuchukuwa hatua za kuwashtaki wasanii hao kwa udharirishaji wa watoto wao.

Mwandishi wetu ilimtafuta kiongozi wa kundi hilo Mtanga ili kuzungumzia ambapo alipatikana na kueleza kwa ufupi " Kaka hali ya Mungu mimi sijaiona hizo picha hivyo nashindwa kueleza chochote,Isipokuwa kama kuna malalamiko yoyote toka kwa wanafamilia hao wafike ofisini kwetu tuweke sawa" Alisema Mtanga


Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/05/picha-za-wasanii-wa-kundi-la-ze-komedi.html#ixzz2TXoxbE1J

No comments:

Post a Comment