|
mzungu na watuhumiwa wenzake wakiwa mahakamani
|
Kenya
ilikua kimya kidogo baada ya uchaguzi mkuu kuisha lakini kwa sasa
inamake headline sana katika vyombo vya habari hasa katika nchi za
afrika mashariki. Tukio lililoifanya kuandikwa sana katika mitandao ni
kutokana na wanawake 12 pamoja na raia mmoja kutoka nchini
Uswiss kunaswa na polisi wakifanya mapenzi na mbwa huku wakichukuliwa
video.
Habari mollelwatz.blogspot.com ilizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kuwa mzungu huyo
alikua akiwalipa wanafunzi hao kiasi cha sh 3000 za kenya ili kufanya
mapenzi na mbwa huyo huku wakichukuliwa video.
|
hii ni picha ya mtuhumiwa akiwa nchini kwao
|
Inadaiwa
kwamba siku za hivi karibuni kumekua na utitiri wa raia wa kigeni
kuingia nchini kenya na kutafuta wadada hasa wanafunzi wa kufanya
ngono na hatimaye kuwafanyisha ngono na mbwa kama ilivyotokea katika tukio
hili.
Baada ya polisi kuwafatilia kwa muda mrefu hatimaye siku ya siku
ikafika na hatimaye kuwakamata wanafunzi 10 na mwanaume huyo wakiwa katika
nyumba moja huko kenya katika mtaa wa kifahari wa Nyali, jijini Mombasa kenya.
Baada ya
kuwakamata taratibu za kuwakamata wahalifu hao na hatimaye kufikisha
mahakamani na mwendesha mashtaka kuomba aongezewe mda wa
kufanya uchunguzi zaidi kwa ajili ya kesi hiyo.
No comments:
Post a Comment