MTOTO WA MIAKA 4 DEVOTHA GERLAD ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE,HAPA AKIWA HOSPITALI KWA HUDUMA AYA KWANZA.
WANANCHI WAKIWA NJE YA HOSPITALI YA WILAYA WAKIWA NA SHAUKU YA KUMUONA MTUHUMIWA.
KINA MAMA WALIOGUSWA NA TUKIO WAKIWA NJE YA HOSPITALI KUMUONA MTOTO HUYO.
AFANDE BWIRE AKIWA HOI WODINI
HAPA AFANDE AKIWA HOI BAADA YA KUFIKISHWA HOSPITALINI..
MADAKTARI WAKIJITAHIDI KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO.
MADAKTARI WAKIWA KAZINI KUHAKIKISHA WANAOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO.
AFANDE BWIRE AKIWA HOI WODINI HUKU AKIWA AMEFUNGWA PINGU.
JITIHADA ZA KUOKOA MAISHA YA MTOTO ZIKIENDELEA
INASIKITISHA SANA JAMANI
MAJUKUMU YA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYO YAKISONGA KWA KASI.
AFANDE BWIRE AKIWA NA PINGU ZAKE WODINI
MUNGU AMPE AHUENI MTOTO HUYU.
Mkazi
wa kitongoji cha Sango kata ya Nyasubi wilayani Kahama mkoa wa
Shinyanga Samson Bwire (54), ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa
kumcharanga mapanga mtoto wake Devotha Gerald (4) kwa sababu za wivu wa
kimapenzi....
Tukio hilo limetokea jana jioni nyumbani kwa Bwire baada ya
kuanza kugombana na mke wake Happiness (28) Elias huku akiwa amelewa
pombe ambapo, mkewe alikimbia kitu kilichosababisha kumgeukia mtoto
Devotha na kuanza kumkata mapanga kichwani.....
Kwa mujibu wa majirani, kelele zilisikika kutoka
kwenye mji huo na kwamba walipoenda walimkuta Bwire akichoma nguo za mke
wake, na alipowaona aliingia ndani na kuanza kumkata mapanga mtoto huyo
huku akiwa amefunga mlango.
Imefafanuliwa
kuwa, baada ya kusikia kelele za mtoto, majirani walianza kuvunja
milango huku wakiomba msaada kituo cha Polisi na baada ya Polisi kufika
walifanikiwa kumnusuru mtoto akiwa amejeruhiwa vibaya sehemu za
kichwani.......
No comments:
Post a Comment