Pages

Friday, May 17, 2013

MFAHAMU MOLLEL WA TZ AKIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI .

Mmiliki wa mtandao huu McDONALD MOLLEL MASSE akiwa na BAHATI ALEX ambaye ni mtangazaji wa CAPITAL FM ya jijini Dar es salaam

MOLLEL WA TZ akiwa na mmoja wa wawakilishi wa VOICE OF AMERICA kusini mwa Tanzania LUCY PATRICK

 MOLLEL WA TZ akiwa na DIANA ambaye ni  Project Coordinator wa JE NIFANYEJE kutoka VOICE OF AMERICA.
 MOLLEL WA TZ akiteta jambo na mratibu wa mradi wa JE NIFANYEJE wakiwa na meneja wa BEST FM RADIO.
 wakwanza kushoto ni MOLLEL WA TZ,Mkurugenzi wa BEST FM RADIO DR.PRIMIUS NKWERA(Kulia aliyevaa kofia),wapili kulia ni HAMZA MWAMOYO ambaye ni mkurugenzi wa Idhaa ya kiswahili ya SAUTI YA AMERIKA(aliyechomekea),katikati ni mratibu mradi wa JE NIFANYEJE (DIANA),anayefuata ni MWLBELEGE kutoka chuo kikuu cha TUMAINI IRINGA. na Mwisho kabisa ni Profesa kutoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa.

 Katikati mwenye saa nyeupe ni MOLLEL WA TZ akiwa na wafanyakazi wa EBONY FM

 Sasa twaweza kuanza kusherehekea
 MOLLEL WA TZ akiwa katika kuchukuwa habari ili akuhabarishe wewe.
 MOLLEL WA TZ akiwa katulia akitafakari jambo


 MOLLEL WA TZ akiwa na mwanakijiji baada ya wanafunzi wa shule ya sekondari Tosamaganga kugoma

No comments:

Post a Comment