CD ZA UAMSHO NA ZILE ZA SHEIKH ILUNGA ZAPIGWA MARUFUKU....!!
Serikali
ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar inayoongozwa na Dr Shein na
Makamu wake Maalim Seif kupitia Jeshi la Polisi wamepiga marufuku rasmi
CD zote za mawaidha ya Kiislam za UAMSHO,MUJAHID ABOUD ROGO na SHEIKH
ILUNGA.
Agizo hilo lilitolewa na OCD wa zamani Murtad MKADAM ambae kwa sasa yupo ofisi kuu ya
polisi kitengo cha madawa ya kulevya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
Maalim Seif.
Alisema cd hizo za kiislam ni chanzo cha uvunifu wa amani hapa nchini
na ndio zinazosababisha uchochezi baina ya dini ya ukiristo na uislam.
OCD alibainisha kuwa mpaka sasa wameshawakamata watu kadhaa
wanaojihusisha na kuuza cd hizo na kuwaonya wale wote ambao huweka
kuzisikiliza maana watachukuliwa hatua kwani serikali ina mkono mrefu.
...
Akijibu baadhi ya maswali aliyoulizwa kwamba waliowakamata hawawaoni
kuwa wamewadhulumu kwa kufanya biashara halali ya uzaji cd, Ocd alijibu cd zile za mawaidha ni Haram wala sio riziki ya halali kwa
upande wa serekali kwani zinapelekea uvunjifu wa Amani katika nchi.
No comments:
Post a Comment