MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA MWONGOSI KUFIKISHWA MAHAKAMANI MAY 9
Huyu ndie mtuhumiwa wa mauawaji ya Mwangosi (kulia)
.............................................................................
MTUHUMIWA wa mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel Ten mkoani Iringa marehemu Daudi Mwangosi askari wa FFU mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni (23) ambae wiki mbili zilizopita alikwama kufikishwa mahakamani kutokana kuwa ni mgonjwa sasa kufikishwa tena mahakamani May 9
No comments:
Post a Comment