Mgomo wa daladala umeanza kwa kasi katika mji wa Iringa baada ya daladala zote kugoma kufanya kazi na kupelekea wananchi kutembea kwa miguu kwenda makazini na wanafunzi kuchelewa katika vituo kwenda mashuleni.
Hali hiyo ya mgomo imeanza kutikisha na kufanya polisi kuingilia kati kuwatuliza madereva wasigome jitihada zinazoendelea hadi sasa.
mtandao huu wa mollelwatz.blogspot.com ambao upo eneo la tukio kwa sasa eneo ;a kihesa umeendelea kushuhudia machungu ya mgomo huo
Hata hivyo usafiri unaofanya kazi ni bajaji ,pikipiki na Taxi ambapo nauli kwa kichwa katika bajaji Tsh. 3000 wakati Taxi kwa kila kichwa Tsh 1000
No comments:
Post a Comment