IRINGA WAZIPOKEA TUZO ZA SAFARI LAGER KWA SHANGWE
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akiwa ameshikilia Tuzo ya Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar ShelukindoMkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akizungumza na wananchi wa Mji wa Iringa katika Uwanja wa Mwembe Togwa wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa. Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kulia) na Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma wakinyanyua Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika nchini Ghana. Tukio hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwembe Togwa mjini Iringa wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya Safari Lager.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, akiwa ameshikilia Tuzo ya Bia ya Safari Lager mara baada ya kuipokea mkoani kwake mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, (wapili kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dr Leticia Warioba (wapili kulia) wakiwa ameshikilia Tuzo za Bia ya Safari Lager mara baada ya kuzipokea mkoani humo mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (kushoto) na mwakilishi wa TBL Mkoani Iringa, Raymond Degela.
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, (wapili kushoto) akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Dr Leticia Warioba (wapili kulia) wakiwa ameshikilia Tuzo za Bia ya Safari Lager mara baada ya kuzipokea mkoani humo mwishoni mwa wiki ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Iringa. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
No comments:
Post a Comment