BREAKING NEWS: Show nyingine ya BongoFlava 31st, May 2013 yaanza matangazo yake
...show inayoaminika kuwa ni ya muziki wa kizazi kipya imeanza matangazo yake leo jijini Dar es salaam. Mpaka sasa haijajulikana itakuwa wapi, na ni ya mwanamuziki gani, lakini tarehe yake ni sawa na ile ya Lady Jaydee ambayo atazindua albam yake ya Nothing But The Truth.
Tunaendelea kufuatilia kwa undani kujua, tutawapasha wadau....
No comments:
Post a Comment