Pages

Sunday, May 12, 2013

NYUMBA HII INA THAMANI YA BILIONI 8 HEBU ITIZAME

HII NI NYUMBA ILIYOJENGWA JUU CHINI NA CHINI JUU.

 

 Pichani juu ni kazi ya Wasanii wa ujenzi, bwana Klaudiusz Golos na Sebastian Mikiciuk, ambao wameamua kujenga nyumba ambayo fikira yake ni kuigeuza juu-chini, chini-juu kama ionekanavyo pichani.


 

Ujenzi wa ndani ya jiko ukiendelea na mmoja wa wasaidizi wa nyumba hiyo.

  

 

Ujenzi wa sehemu ya kulia chakula ukipata ukarabati na ribiti za mwisho mwisho.

 

 

 Sofa la kukalia likiwa katika marekebisho ya mwisho mwisho katika sehemu ya kupumzikia ya nyumba hiyo.

 

Choo kinapata vipodozi vya mwisho mwisho na mmoja wa wasaidizi wa ujenzi.

  

  Jikoni kunapata vipodozi vya mwisho mwisho kabla wenye nyumba kuhamia.


  Ujenzi wa ndani ya choo ukiendelea na mmoja wa wasaidizi wa wasanii wa nyumba hiyo.

  

 

Upande wa dirisha moja-wapo kati ya madirisha ya nyumba hiyo.

  

 

 Kiti cha kupumzikia kikiwekwa vizuri katika kona ya nyumba

   

 Utakapotembelea Baltic Sea Island, Usedom, Germany, usije ukashtuka ukiona hiyo nyumba kama ambayo iliyopeperushwa na upepo au iliyopeperushwa na kimbunga.

Madhumuni ya nyumba hiyo ni moja ya kuvutia watalii katika mji huo na watalii watapata fursa ya kujisikia wakiwa wakitembea ndani ya nyumba hiyo kama wakining'inia kichwa chini miguu juu

No comments:

Post a Comment