Few minutes ago, mwanamuziki LADY
JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single
yake ya sasa inayojulikana kama JOTO, HASIRA ... Ikimaanisha ni kama
JAYDEE ameurudia wimbo huo ...
According to mwanadada huyo, mtu huyo ni kutoka nchi jirani ya KENYA ... Check alichoandika LADY JAYDEE hapa chini ...
No comments:
Post a Comment