BAD TASTE PICTURE:TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HII: POLISI WAUA MTOTO WA MIAKA 9 KWA RISASI HUKO TARIME
Normal
0
false
false
false
EN-US
X-NONE
X-NONE
MicrosoftInternetExplorer4
Haya ndiyo yaliyofanyika tarime jana mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpakani mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone .
mwili wa marehe Deo Yakob mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi Mturu mjini Tarime hapa nimelishuhudia hili.
No comments:
Post a Comment