Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kwenye uwanaj awa ndege wa Kilimanjaro alikowasili May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula Athumani Mfutakamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana Spika wa Bunge mama Anne Makinda kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro alikowasili May 8,2013 ili kufungua mkutano Mkuu wa ALAT jijini Arusha, May 9, 2013. Lisu pamoja na wabunge wengine walikwenda Arusha kujionea athari za mlipuko wa bomu kwenye Kanisa Kstoliki la Olasiti.Katikati ni Mbunge wa Igalula Athumani Mfutakamba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Hawa Ghasia (kushoto) na Mwenyekiti wa ALAT , Dr. Didas Masaburi baada ya kufungua mkutano Mkuu wa ALAT kwenye Ukumbi wa Sundown Carnival jijinii Arusha, May 9,2013..
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment