Pages

Thursday, May 9, 2013

BREAKING NEWS:! RUAHA KIMENUKA


https://encrypted-tbn1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcT7mtbHzBmCK3O-3aDu75ZC4jpbIKrBiAm7SXjBLp4EhvjPVHEdJgMKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA.
 
MJI MDOGO WA RUAHA KATIKA WILAYA YA KILOSA MKOANI MOROGORO KUNA VURUGU KUBWA BAINA YA WANANCHI NA POLISI INAENDELEA SASA HIVI.
 
Taarifa nilizozipata muda na watu ambao wapo kwenye tukio, wanasema hali si shwari katika mji huo kutokana na kile kinachodaiwa mwenyekiti wa kijiji kukabidhiwa madaraka bila matakwa ya wananchi.

Tukio hilo linadaiwa kufanya kinyemela kwa kumuita ofisini na kukabidhiwa vifaa vya kazi ikiwemo mihuri na vitendea kazi vingine bila kupitishwa na wananchi hao. 
 
KWA HABARI ZAIDI ENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII:
CHANZO :jumamtanda.blogspot.com 

No comments:

Post a Comment