Pages

Thursday, May 9, 2013

SHEIKH PONDA AACHIWA HURU HUKU AKIFUNGWA KIFUNGO CHA NJE CHA MWAKA MMOJA.


 Ulinzi ulivyokuwa umeimarishwa wakati wa kusikiliza hukumu ya Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam

 Askari wenye Pikipiki wakifanya patro eneo la Mahamakani
 Askari wa wakilinda eneo la Mahakama
 Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru
 Ponda akiwa na baadhi ya viongozi na wafuasi wake nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam



 Askari wakilinda gari alilopanda Sheikh Ponda Issa Ponda



No comments:

Post a Comment